GENERATION HEALTH CLINIC
DR. SIMON KULUBI
SIMU , 0765 724210, 0789180076,
0687 310032
DR. SIMON KULUBI
SIMU , 0765 724210, 0789180076,
0687 310032
TUNATIBU:
Maumivu ya viungo (arthritis)
Baridi Yabisi & Gout (Rheumatism)
Presha (Pressure) moyo
Sukari (Diabetic type 1&2)
Ugonjwa wa ngozi (skin diseases)
Nguvu za Kiume (Low Libido & Impotence)
Kutokuzaa na upungufu wa virutubisho (Low Female hormones)
Typhoid, Malaria & Asthmatic)
Brusela (Brucellosis)
Aleji na Pumu (Allergies & Asthmatic)
Uvimbe tumbo la uzazi (fibroids)
Kifafa (Epilepsy)
Meningitis & stroke
Shida ya figo (Kidney disease)
Vidonda vya tumbo (stomach ulcers)
Gesi (Gastritis)
Shida ya kifua (Chest problems)
Kukosa hedhi (Amonoreah)
Kutokwa na damu bila kukoma (Disanomoreah)
Ngiri (Prostatitis)
Magonjwa ya zinaa (UTI, STD)
Kusafisha meno (Whitening teeth)
Uzazi wa mpango (Family Planning)
Kipanda uso
Chunisi, majipu na upele
Fungus sehemu zote za mwili
Masikio na macho
Kupunguza unene
Vipele (chunusi) na ngozi
Upara
Pumu
Kuuma kwa mgongo
Mwiba wa nyuki na nyigu
Kibofu cha mkojo/figo
Jiwe la figo
Maathirika ya figo
Mafua
Kikohozi
Bawasili (nyama za haja kubwa)
Presha ya kupanda na kushuka
Fizi na jino
Memory (kumbukumbu)
Jaundice (homa ya manjano)
Maumivu juu ya kichwa
Ngozi kavu
Upepo
Minyoo
Kunyonyoka nywele
Ukosefu wa usingizi
Kisunzi na maumivu ya sikio
Ngiri
Mdomo kwenda upande
Hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote
Malengelenge na neva katika ngozi
Maradhi ya wanawake na uzazi
Harufu mbaya kinywa
Meno na maumivu ya mafido na koo
Maradhi ya tezi
Chunusi (acne)
Maradhi yote ya ngozi
Sugu
Kisukari type II
Uvimbe wa figo
Kukojoa kwa damu (dysuria)
Kukojoa bila kujizuiya
Jongo (edema)
Kifuko cha nyongo na vijiwe vyake
Wengu
Maradhi yote ya kifua na baridi
Moyo na mzunguko wa damu
Mchango (msokoto wa tumbo)colic
Kuhara
Gesi na maumivu
Asidi
Uvimbe tumbo la uzazi
Maradhi ya macho
Amiba (amebiasis)
Kichocho (bilhaziasis)
Kutoa wadudu tumboni
Utasa
Miguu kuvimba
Tumbo kuvimba
Nyama za puani
Kukojoa bila kujizuiya
Miguu Kuwaka moto
Kidonda ndugu
Kipanda uso
Chembe ya moyo
Ugonjwa wa Malaria
MALARIA
Ni ugonjwa ambao unasababishwa na mdudu anayeitwa Plasmodium. Huwa anakaa ndani ya mbu anayeitwa Anopheles mosquito.
DALILI
Malaria inaweza kusambaa ndani ya siku 7 mpaka siku 18 tangu siku ambayo umeng’atwa na mbu. Wakati mwingine dalili huwa zinachukua mda mrefu
Dalili za mwanzo ni mafua na joto kali kupanda mwilini, kichwa kuma kuokwa na jasho, baridi na kutapika. Hizi dalili huwa zinaanza taratibu bila kutambua mapema. Hatimaye huwa zinaongezeka na kuwa tatizo kubwa. Mgonjwa huwa anasikia baridi na kutetemeka sana kwa lisaa au masaa wakati mwingine masaa mengi zaidi ya sita na jasho kwa wingi.
Dalili zingine ni maumivu ya misuli, tumbo kuuma na kuharisha na kujisikia vibaya.
Wakati mwingine hali ya mgonjwa inapozidi kuwa mbaya sana, hushindwa kupumua vizuri (kifua kubana) na hata ini huwa linashindwa kufanya kazi vizuri. Kwa hivyo tiba ya haraka inatakiwa. Kwa sababu malaria ni ugonjwa hatari sana, usipotibiwa kwa haraka, mgonjwa anaweza akapoteza maisha.
Malaria huwa ina sababisha matatizo mengine kama
ANAEMIA
Celi za mwili zilizoko kwenye damu (chembechembe nyekundu) huwa zinaharibiw a na wadudu wa malaria na kusababisha anaemia. Anaemia maana yake ni kukosa oxygen ya kutosha mwilini na kusababisha mgonjwa kuzimia au kukosa nguvu.
Cerebral malaria (malaria ya kichwani)
Katika hali isiyo ya kawaida malaria inaweza kupanda kichwani inaitwa malaria ya kichwani. Inaweza ikasababisha maumivu kwenye ubongo au kusababisha ubongo kuvimba. Inaweza ikasababisha ugonjwa wa kuanguka (kifafa) au kukosa fahamu kwa muda mrefu.
Matatizo mengine
Ni kama
Ini kushindwa kufanya kazi na kusababisha ngozi na macho kuwa ya njano
Presha kushuka ghafla
Mapafu kujaa maji (Pulmonary oedema)
Kukosa pumzi
Sukari kushuka ghafla
Figo kushindwa kufanya kazi vizuri
Bandama kuvimba na kushindwa kufanya kazi
Maji kuisha mwilini.
Malaria wakati wa ujauzito
Wanawake wajawazito hawatakiwi kabisa kusafiri au kukaa sehemu ambazo zinajulikana kuwa na mbu wa anopheles
Ukipata malaria wakati wa ujauzito unakuwa katika hatari ya kupata matatizo makubwa zaidi
Mfano
Kujifungua kabla ya wakati
Kujifungua mtoto ambaye ana uzito mdogo (kilo chache)
Kujifungua mtoto ambaye halii
Kutoka mimba
Kifo cha mama
Wanawake wajawazito hawatakiwi kabisa kutumia dawa za malaria bila ushauri wa daktari
Wamama wajawazito wanatakiwa kutumia:
Dawa za kupaka kwenye ngozi ili kuzuia mbu asingate
Kuvaa nguo ndefu za kufunika mkono na miguu na kichwa wakati wa jioni
Tumia dawa za kupuliza au coil ambazo zinafukuza mbu
Lala kwenye chandarua iliyotiwa dawa ya kuzuiya mbu na kwenye chumba chenye hewa nzuri ya kutosha.
0 comments:
Post a Comment