Sunday, 22 March 2015

UGONJWA WA FIGO

                                              
                                                            UGONJWA WA FIGO
             


     FIGO
Ni kiiungo ambacho kinasaidia kuchuja uchafu kutoka kwenye damu.Ina kichujio ambacho kinaitwa glomerulus kinachuja uchafu na kupeleka kwenye kibofu cha mkojo kupitia mirija ambayo inaitwa ureters.
Zinasaidia pia kusawazisha shinikizo la damu kubalance mwili,kusawazisha chembechembe nyekundu katika mwili.

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO
·      Ni malimbikizo ya uchafu(urea)kutoka mwilini na kujaa kwenye figo-huwa inasababisha:
1.  Udhaifu wa mwili,kukosa pumzi ,kuchanganyikiwa,figo kushindwa kuchuja urea(potassium) huwa inasababisha mapigo ya moyo kwenda mbio.
2.  Damu kwenye mkojo
3.  Kuumwa sana na tumbo chini ya  kitovu
4.  Mafua yasiyoisha
5.  Uzito wa mwili kuongezeka bila mpangilio
6.  Kuhema sana ukitembea hatua chache
7.  Kutokwa na jasho mara kwa mara.
8.  Kuwashwa mwili  mara kwa mara na kusikia kizunguzungu
9.  Miguu kuvimba,ukibonyeza ni kama papai lililoiva.
10. Pressure ya kushuka
11. Kukojoa mkojo wa njano,kukosa mkojo kabisa au kukojoa mdogo kwa kipindi .
12. Mawe kwenye figo(kidney stones)
13. Uric acid.
TIBA
· Kufanyiwa upasuaji au kubadilishiwa figo
· Kutumia dawa za kutibu figo
· Control ya blood pressure + kisukari maana vinachangia sana
· Epukana na ulaji mwingi wa chumvi au sukari.

UGONJWA WA KICHOCHO

                              

UGONJWA WA KICHOCHO/BILHARZIA



                                                         


KICHOCHO/BILHARZIA
·        Ni ugonjwa ambao unatokana na minyoo midogo ya aina ya schistosoma kuingia mwilini na kusababisha muwasho katika viungo mbalimbali unaosababisha homa,udhaifu,kupungukiwa ma kinga mwilini hadi kutokea kansa na kifo.
·        Minyoo ya aina ya schistosoma inatokea katika konokono za maji kwa hali ya lava(larvae stage)larvae zinatoka kwenye konokono na kutembea katika maji karibu nayo zikitafuta wanyama au awtu wanapolenga kuingia ili waendelee kukua katika miili  yao.zinatoboa ngozi na kutembea na kuingia hadi  mishipa ya damu hadi maini zinapobadilika kuwa minyoo yenye urefu wa milimita1-2,minyoo inaendelea kutembea mwilini hadi kufikia utumbo,mapafu au ubongo.Huwa zinasababisha vurugu katika viungo hivi na kusababisha mzio unaonekana kwa njia ya homa .Minyoo inataga mayai yanayotoka mwilini kwa njia ya kibofu na mkojo.
·        Kama mkojo unaachishwa kwenye maji,mayai hubadilika kuwa larvae zinazoingia katika konokono na mzunguko unaanza upya.
·        Kwa hiyo njia  ya kuambukizwa ni kuingia katika maji penye konokono zilizoambukizwa..siku hizi karibu kila ziwa,bwawa au maji ya vidimbwi huwa na hatari ya kichocho.
DALILI
Kichocho ni ugonjwa ambao ni chronic.wagonjwa wa kichocho huwa wanakabiliwa ana anemia na utapia mlo.kichocho kinaweza kuonekana wiki chache baada ya maambukizi.
·        Utasikia tumbo linauma sana
·        Kikohozi kisichoisha
·        Kuharisha mara kwa mara (damu)
·        Homa kali
·        Kizunguzungu
·        Ini kuvimba pamoja na bandama
·        Ongezeko kubwa la seli nyeupe
·        Maambukizi kwenye ngozi ambayo yanasababisha muwasho miguuni na sehemu zingine za mwili.
·        Muwasho sehemu za siri na kutokea vidonda ambavyo vinaweza kuwa njia kuu ya maambukizi ya ukimwi.
·        Mayai yanaweza kusambaa hadi uti wa mgongo na kusababisha ugonjwa wa akili
·        Wakati mwingine ugonjwa huu unasababisha uvimbe kwenye kizazi,matokeo yake mgonjwa anapata
Presha ya kupanda au kushuka,matatizo ya figo.

Saturday, 21 March 2015

Tuesday, 3 March 2015

Fuatilia kwenye Generation Health Clinic kuhusu magonjwa mbalimbali na ujifunze vitu vingi kuhusiana na Afya yako chini ya Dr.Kulubi  ambaye amefanya uchunguzi  wa kina katika utafiti wa tiba asilia kwa miaka mingi.

WASILIANA NASI..KUPITIA NAMBA ZA SIMU.....
                                      0765 724210, 0789 180076
                       EMAIL...generationclinic@gmail.com
              LOCATION.....tupo Babati mjini Manyara lango kuu la kutokea  mabasi yaendayo Mikoani, mbele utakiona kituo chetu cha afya cha generation.Wagonjwa wengi kutoka mikoa mbalimbali wamefika kwa Dr.Kulubi Na kutibiwa na kupona magonjwa mengi sugu yakiwemo Pumu,Vidonda vya tumbo,Uzazi,Ngiri,Tezi dume,presha,Figo,viungo kuuma,miguu kuvimba na magonjwa mengine mengi yaliyoshindikana.
                                

Monday, 2 March 2015